VIINGILIO MECHI YA FAINALI YANGA VS SINGIDA BS

VIINGILIO MECHI YA FAINALI YANGA VS SINGIDA BS

Baada ya kubeba taji la ligi kuu ya NBC kwa msimu wa nne mfululizo, kikosi cha Yanga sasa kinaelekeza nguvu zake katika mchezo wa fainali kombe la CRDB dhidi ya Singida Black Stars utakaopigwa Jumapili, Juni 29 katika uwanja wa New Amaan Complex, Zanzibar

Yanga inaelekea Zanzibar leo kukamilisha maandalizi ya mchezo huo ambao ushindi utawahakikishia Wananchi kutwaa taji la CRDB kwa msimu wa nne mfululizo

Viingilio vya mchezo huo vimetangazwa mapema;

Usikose kuitazama mechi hii ya  YANGA vs SINGIDA BLACK STARS LIVE  bure kupitia simu yako  download App yetu mapema inayorusha mechi zote live bure, pia App bado hatujaiweka playstore hivo utaidownload kama APK

BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD APP ITAKAYOKUWEZESHA KUTAZAMA MECHI HII LIVE BURE

Add a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *