MPYA: SIMBA WATHIBITISHA KUWA LEO WATACHEZA DHIDI YA YANGA WATOA UJUMBE HUU

MPYA: SIMBA WATHIBITISHA KUWA LEO WATACHEZA DHIDI YA YANGA WATOA UJUMBE HUU

Winga wa Simba Elie Mpanzu amewaalika mashabiki wa Mnyama kujitokeza kwa wingi uwanja wa Benjamin Mkapa katika mchezo wa ligi kuu dhidi ya Yanga ambao utapigwa leo saa 11 jioni

Kupitia ukurasa wake wa mtandao wa Instagram, Mpanzu amewaambia mashabiki kuwa klabu inahitaji sapoti yao ili kumaliza kile waliochoanza pamoja

“Tunakutegemea, tunakuhitaji. Unapaswa kujua hili: wewe ni mchezaji wetu bora, mtu wa 12 mpendwa. Kwa pamoja, wewe na sisi tutaifanya Simba kunguruma hadi ardhi itetemeke na anga kupasuka vipande elfu moja. TUMALIZE TULICHOANZA.. ” aliandika Mpanzu

Ni wazi ujumbe huu sasa unatosha kuwaondolea hofu Wanamsimbazi kuwa saa 11 jioni Mnyama ana jambo lake pale kwa Mkapa

Tayari Simba pia imethibitisha itakuwepo dimba la Mkapa kuchuana na Yanga

Usikose kuitazama mechi hii ya  YANGA vs SIMBA LIVE  bure kupitia simu yako  download App yetu mapema inayorusha mechi zote live bure, pia App bado hatujaiweka playstore hivo utaidownload kama APK

BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD APP ITAKAYOKUWEZESHA KUTAZAMA MECHI HII LIVE BURE

Add a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *