Klabu ya Yanga ilishafunga hesabu kwa kumuongezea mkataba kiungo wake kiraka Maxi Nzengeli raia wa DR Congo, imefahamika Taarifa kutoka ndani ya uongozi wa klabu hiyo imebainisha