NAFASI Za Kazi Morogoro Municipal Council

NAFASI Za Kazi Morogoro Municipal Council
NAFASI Za Kazi Morogoro Municipal Council

NAFASI Za Kazi Morogoro Municipal Council

Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Morogoro amepokea kibali cha Ajira mpya kwa ikama ya Mwaka 2024/2025 kutoka kwa Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora chenye Kumb.Na.FA.97/288/01/A/25 cha tarehe 29/04/2025 na kibali cha Ajira Mbadala chenye Kumb.Na. FA.228/613/01G/049 cha tarehe 14/04/2025.

Hivyo Watanzania wote wenye sifa wanatangaziwa kutuma maombi ya kazi kwa nafasi zifuatazo.

Add a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *