NAFASI Za Kazi Chuo Kikuu Cha KCMC

NAFASI Za Kazi Chuo Kikuu Cha KCMC
Chuo cha Kilimanjaro Christian Medical University (KCMC) ni Chuo Kinachotoa Mafunzo kwa Wataalam wa afya wa kada zote kuanzia Stashahada, Shahada za Kawaida, Shahada za Uzamili na Udaktari wa Falsafa.
Chuo hicho kimetangaza ajira Mpya Kwa Watu wenye nia, ari na sifa stahiki kujaza nafasi hizi zilizoanishwa hapa chini.
