NAFASI Za Kazi Jhpiego Tanzania

NAFASI Za Kazi Jhpiego Tanzania
Jhpiego nishirika la afya duniani linaloshirikiana na Chuo Kikuu cha Johns Hopkins ambalo limekuwa likifanya kazi nchini Tanzania tangu 1999.
Kazi yao inalenga katika kuboresha afya ya uzazi na watoto wachanga, kuzuia VVU/UKIMWI, udhibiti wa malaria, na masuala mengine ya afya.
Jhpiego inashirikiana na Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii ya Tanzania na mashirika mengine kutekeleza programu na miradi.
Jhpiego Tanzania inatafuta watu wenye nia, ari na sifa stahiki kujaza nafasi Mbalimbali zilizoanishwa hapa chini.
