NAFASI Za Kazi INNOVEX Tanzania

NAFASI Za Kazi INNOVEX Tanzania
INNOVEX ni kampuni ya huduma za kitaalamu ya Pan-Afrika inayotoa huduma katika Afrika Kusini mwa Jangwa la Sahara.
INNOVEX inawaalika Watu Kutuma maombi ya kazi kwaajili ya fursa ya mafunzo ya ndani kutoka kwa watu binafsi wanaotaka kuanzisha taaluma katika Vyombo vya Habari na Mawasiliano kwa kuzingatia sana muundo wa picha.
