NAFASI Za Kazi Geita Municipal Council

NAFASI Za Kazi Geita Municipal Council
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Geita amepokea kibali cha Ajira mpya kutoka kwa Katibu Mkuu OR – Utumishi chenye Kumb. Na. FA.97/228/01A/25 cha terehe 29/04/2025.
Hivyo anapenda kuwatangazia watanzania wote wenye sifa
kutuma maombi kwa nafasi tisa (09) kama zilivyoainishwa kwa kuzingatia sifa tajwa.
