HUYU HAPA MUAMUZI WA MECHI YA FAINALI YA YANGA VS SINGIDA BS KESHO

HUYU HAPA MUAMUZI WA MECHI YA FAINALI YA YANGA VS SINGIDA BS KESHO

Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limemtangaza mwamuzi Ahmed Arajiga kutoka Manyara kuwa ndiye atakayechezesha mchezo wa fainali ya kombe la CRDB kati ya Yanga dhidi ya Singida Black Stars ambao utapigwa Jumapili Juni 29 katika uwanja wa New Amaan Complex, Zanzibar

Arajiga atasaidiwa na waamuzi wasaidizi Frank Komba (Dar es salaam) na Hamdani Said (Mtwara)

Mwamuzi wa akiba ni Tatu Malogo kutoka Tanga

Usikose kuitazama mechi hii ya  YANGA vs SINGIDA BLACK STARS LIVE  bure kupitia simu yako  download App yetu mapema inayorusha mechi zote live bure, pia App bado hatujaiweka playstore hivo utaidownload kama APK

BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD APP ITAKAYOKUWEZESHA KUTAZAMA MECHI HII LIVE BURE

Add a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *