MABADILIKO ya Eneo la Usaili wa Mahojiano wa tarehe 04 Juni 2025

MABADILIKO ya Eneo la Usaili wa Mahojiano wa tarehe 04 Juni 2025
Katibu wa Sekretarieti ya Ajira Katika Utumishi wa Umma anawajulisha waombaji kazi wote waliopangiwa kufanya usaili wa mahojiano tarehe 04 Juni,2025 katika Majengo ya Dkt.Asha Rose Migiro-Dodoma kuwa kuna mabadiliko ya eneo la usaili huo.