NAFASI Za Kazi Sokoine University of Agriculture

NAFASI Za Kazi Sokoine University of Agriculture
NAFASI Za Kazi Sokoine University of Agriculture

NAFASI Za Kazi Sokoine University of Agriculture

Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA) ni chuo kikuu cha umma kilichopo Morogoro, Tanzania, kilichobobea katika kilimo.

Aidha Chuo hicho kimepewa jina la waziri mkuu wa pili wa nchi Edward Sokoine.

SUA ina kampasi tano, na ina vyuo vya kitaaluma vitano na shule mbili. Inatoa Shahada ya Kwanza, Shahada ya Uzamili na Uzamivu katika nyanja mbalimbali, nyingi zikiwa zinahusu kilimo.

Chuo hicho kinatafuta Watu wenye nia, ari na sifa stahiki kujaza nafasi Mbalimbali zilizoanishwa hapa chini kwenye PDF.

Add a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *