Tetesi za Usajili ligi kuu Tanzania bara 2025/2026

Tetesi za Usajili ligi kuu Tanzania bara 2025/2026
Mshambuliaji Heritier Makambo ameshamalizana na Tabora Utd baada ya mkataba wake kumalizika.
Makambo hatocheza mechi moja iliyobaki dhidi ya Coastal Union. ataendelea kusalia Tanzania kama atafikia makubaliano na timu zinazomhitaji.

Target ya Singida Black Stars ni kumpata mshambuliaji wa Berekum Chelsea Stephen Amankona (25) Ni mfungaji bora misimu miwili mfululizo wa Ligi ya Ghana 2024/25 – Mabao 15. 2023/24 – Mabao 19.

Left Back, Benson Mangolo alivunja mkataba wake na Singida BS uliokuwa unamalizika Juni 2026 Atajiunga na Marumo Gallants kwa mkataba wa miaka mitatu Personal terms agreed, medical and formal steps to follow for him to become Marumo player.

Mshambuliaji Muhsin Malima (24) amejiunga na Azam Fc kama mchezaji huru baada ya kuachana na ZED Fc ya Egypt Malima amesaini mkataba wa mwaka mmoja wenye chaguo la kuongeza. Medical completed, NO WORRIES, confirmed.

Mchakato wa Azam Fc kumpata Kocha Florent Ibenge unaendelea japokuwa mshahara wake ni kikwazo kikubwa kwenye mazungumzo Ibenge analipwa $60K (Tshs 154m) na Al Hilal katika mkataba wake unaomalizika Juni 30

Ofa ya Yanga iliyotumwa kwenye camp ya mshambuliaji Ecua Celestin (23) imekataliwa Al Hilal are now advancing in negotiations after initial concrete talks between all parties involved, player & clubs Mabao 15 akiwa Asec kwa mkopo kutoka Zoman

Mshambuliaji Cyprian Kipenye anafanya mazoezi na kikosi cha Simba Sc akitokea Songea Utd.
Kipenye aliwahi kupita timu ya vijana ya Simba na sasa anatazamwa kwa ukaribu na Kocha Mkuu Fadlu Davids Amefunga mabao na Assists akiwa na Songea Utd.

Yanga imefunga mjadala kuhusu mchezaji Max Nzengeli tayari max alisha saini kandarasi ya miaka 2 pale jangwani hivo ni mali ya Yanga mpaka 2027

Baada ya kumalizana na Aishi Manula (29), Azam Fc itaachana na Golikipa Mohamed Mustafa ambaye mkataba wake unamalizika 2026. Mkataba wake wa msimu mmoja uliobaki utavunjwa. Aishi Manula is Back na ataitumikia Azam Fc hadi 2027.

Klabu ya Kagera Sugar imemtaarifu Juma Kaseja kuwa inamhitaji aendelee kuwa Kocha Mkuu wa timu hiyo itakayoshiriki Championship msimu ujao Kagera tayari imempa mipango na mikakati yao ya kurejea Ligi Kuu ya Nbc

Aliyekuwa Kocha wa TMA Stars ya Championship Mohamed Ismail “Laizer” amejiunga na Fountain Gate Fc ya Ligi Kuu ya Nbc kama kocha Msaidizi. Laizer atasaidiana na Kocha Melis Medo na wote tayari wameanza kazi.

Mshambuliaji wa Mtibwa Sugar, Omary Marungu anaendelea na mazoezi na klabu ya Simba Sc Kocha Mkuu wa Simba Fadlu Davids ameridhika na uwezo wake na anaendelea kumtazama zaidi kama ilivyo kwa Morice Abraham Hatma yao ipo mikononi mwa Fadlu Davids.

Mkataba wa Kiungo Morice Chukwu na Singida BS umebaki mwaka mmoja Singida wamempa ofa ya mkataba mpya wa muda mrefu but imekataliwa na Menejimenti yake hadi watakapotimiza matakwa yote ya mkataba wa sasa He is Ready to extend kama watalifanyia kazi
