TETESI MPYA: YANGA WAKAMILISHA USAJILI WA MOHAMED DOUMBIA KUTOKA CZECH

TETESI MPYA: YANGA WAKAMILISHA USAJILI WA MOHAMED DOUMBIA KUTOKA CZECH

Klabu ya Yanga SC imekamilisha usajili wa kiungo mshambuliaji raia wa Ivory Coast, Mohamed Doumbia kutoka Slovan Liberec ya jamhuri ya Czech, (26)

Huu ni usajili wa kwanza rasmi kwa Yanga kuelekea msimu wa 2025/26!

⚑ Doumbia ni mchezaji mwenye uwezo mkubwa wa kupiga pasi za mwisho, kumiliki mpira na kusaidia safu ya ushambuliaji.

✍️ Amekabidhiwa mkataba wa miaka miwili,

πŸŽ™οΈ β€œNajivunia kujiunga na timu kubwa kama Yanga. Lengo langu ni kutwaa makombe na kufanya historia Tanzania,” amesema Mohamed Doumbia wakati akihojiwa na vyombo vya habari vya uko kwao .

Usikose kuitazama mechi hii yaΒ  YANGA vs SIMBA LIVEΒ Β bure kupitia simu yakoΒ  download App yetu mapema inayorusha mechi zote live bure, pia App bado hatujaiweka playstore hivo utaidownload kama APK

BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD APP ITAKAYOKUWEZESHA KUTAZAMA MECHI HII LIVE BURE

Add a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *