Mwenyekiti wa klabu ya Simba Murtaza Mangungu amesema Simba inashiriki mashindano mbalimbali kwa kuzingatia taratibu za uendeshaji zinazopangwa na mamlaka husika Mangungu amesema bodi ya ligi iliupangia mchezo