AZAM FC YAWAPIGA MKWARA WANAO NYEMELEA WACHEZAJI WAKE UONGOZI wa klabu ya Azam FC umeweka wazi msimamo wake kuhusu wachezaji wao kuhusishwa na usajili wa kwenda timu nyingine