Taarifa Mpya kutoka Tff Asubuhi hii ni kuhusu mechi hii

Taarifa Mpya kutoka Tff Asubuhi hii ni kuhusu mechi hii

Mchezo wa fainali ya Kombe la CRDB utapigwa Juni 29 badala ya Juni 28 kama ilivyokuwa awali na mchezo utapigwa saa mbili na robo usiku (20:15). Juni 29 fainali ya Kombe la CRDB ni Yanga SC dhidi ya Singida Black Stars.

Add a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *