PICHA: WANANCHI WALIVYO FURAHIA SUPU YA NGAMIA LEO

PICHA: WANANCHI WALIVYO FURAHIA SUPU YA NGAMIA LEO
Mashabiki, Wanachama wa Yanga na wananchi wengine leo waliitikia wito Makao Makuu ya Yanga, Jangwani kushiriki tukio la shukrani baada ya kufanikiwa kutetea ubingwa wa ligi kuu kwa msimu wa nne mfululizo
Tukio hilo liliambata na supu ambapo kwa mara ya kwanza leo Wananchi wamekunywa supu ya Ngamia



Usikose kuitazama mechi hii ya YANGA vs SINGIDA BLACK STARS LIVE  bure kupitia simu yako download App yetu mapema inayorusha mechi zote live bure, pia App bado hatujaiweka playstore hivo utaidownload kama APK
BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD APP ITAKAYOKUWEZESHA KUTAZAMA MECHI HII LIVE BURE




