NAFASI Za Walimu Isamilo International School

NAFASI Za Walimu Isamilo International School
Shule ya Isamilo iliyoko Mwanza, Tanzania, inamilikiwa na Kanisa la Anglikana Tanzania chini ya mwamvuli wa Dayosisi ya Victoria Nyanza.
Shule hiyo iliyoanzishwa mnamo 1956, ilihudumu hapo awali watoto wa wahamiaji na wamisionari wanaofanya kazi katika eneo hilo, hasa wale wa matibabu na sekta ya madini, pamoja na familia kutoka jamii ya watanzania wenyeji.
Shule hiyo inatafuta Watu wenye nia, ari na sifa stahiki kujaza nafasi zilizoanishwa hapa chini kwenye PDF.
One Comment

Naomba kazi usafi ata matron