NAFASI Za Kazi World Food Programme

NAFASI Za Kazi World Food Programme

World Food Programme ndilo shirika kubwa zaidi la kibinadamu Duniani linalookoa Maisha katika dharura na kutumia msaada wa chakula kujenga njia ya amani, utulivu na ustawi, kwa watu wanaopata nafuu kutokana na migogoro, majanga na athari za mabadiliko ya tabianchi.

kujifunza zaidi kuhusu WFP, tembelea tovuti yetu:https://www.wfp.org

Shirika hilo linatafuta watu wenye nia, ari, vigezo na sifa stahiki kuomba Ajira zilizoanishwa hapa chini!

Add a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *