NAFASI Za Kazi TAHA Tanzania

NAFASI Za Kazi TAHA Tanzania
NAFASI Za Kazi TAHA Tanzania

NAFASI Za Kazi TAHA Tanzania

Tanzania Horticultural Association (TAHA) ni asasi inayoongoza katika sekta binafsi inayojishughulisha na maendeleo na kukuza kilimo cha bustani nchini Tanzania ikijumuisha maua, matunda, mboga mboga, viungo, mimea na mbegu za bustani.

Dhamira ya TAHA ni kuongeza ukuaji na ushindani wa tasnia ya bustani kwa manufaa ya kijamii na kiuchumi.

TAHA Tanzania inatafuta watu wenye nia, ari na sifa stahiki kujaza nafasi zilizoanishwa hapa chini.

One Comment

Add a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *