NAFASI Za Kazi Rufiji Town Council

NAFASI Za Kazi Rufiji Town Council
NAFASI Za Kazi Rufiji Town Council

NAFASI Za Kazi Rufiji Town Council

Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Mji wa Rufiji anapenda kuwatangazia Wananchi nafasi ya kazi ya vibarua wa kukusanya mapato ndani ya Halmashauri ya Mji Rufiji.

Mwombaji awe na sifa zifuatazo:-

  •  Awe Mtanzania.
  • Awe mwenye umri kuanzia miaka 18 mpaka 35.
  • Awe amehitimu kidato cha nne.
  • Awe anaweza kutumia simu janja.
  • Awe na kitambulisho cha NIDA.
  • Awe Mwaminifu.

Maombi yote yatumwe kwa Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Mji Rufiji kwa anuani ifuatayo:-
MKURUGENZI MTENDAJI (W)
HALMASHAURI YA MJI RUFIJI,
S.L.P 28,
UTETE/RUFIJI.
ded.ruffiji@pwani.go.tz

Mwisho wa Kutuma maombi ni tarehe 24/04/2025 saa 9.30 alasili.

Add a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *