NAFASI Za Kazi Qatar Charity

NAFASI Za Kazi Qatar Charity
Qatar Charity (QC) ni Shirika la Qatar, shirika la Kimataifa lisilo la kiserikali la kibinadamu, linalofanya kazi Tanzania tangu 2019.
QC inafanya kazi hasa katika maeneo ya mada zifuatazo: WASH, CPI, kupunguza hatari za majanga, ulinzi wa kijamii, maisha endelevu, elimu na msaada wa kitamaduni na afya Tanzania nzima.
Shirika hilo linatafuta watu wenye nia, ari na sifa stahiki kujaza nafasi Mbalimbali zilizoanishwa hapa chini kwenye PDF;
4 Comments

I will provide co -operation for everything
I need this
Surveyor
I need this