NAFASI Za Kazi Mkwawa University College of Education

NAFASI Za Kazi Mkwawa University College of Education
Chuo Kikuu cha Elimu cha Mkwawa ni Chuo Maalumu cha Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Iringa, Tanzania. .
Uongozi wa Chuo Kikuu cha Elimu Mkwawa (MUCE) unakaribisha maombi ya kazi kutoka kwa Watanzania wenye sifa stahiki ili kujaza nafasi 23 za Kitaaluma kama zilizoanishwa hapa chini.
