NAFASI Za Kazi Hill Group

NAFASI Za Kazi Hill Group
Hill Group ni Kundi lililoanzishwa mwanzoni mwa 2000 kama Biashara ndogo ya Maduka ya Kilimo iliyopo Mwenge, Dar es Salaam.
Hill Group inafanya kazi chini ya kampuni zifuatazo: Salibaba Pellet Company Limited, Hill Packaging Company Limited na Hill Oil & Fats Limited.
Hill Group inatafuta watu wenye nia, ari na sifa stahiki kujaza nafasi zilizoanishwa hapa chini.
