NAFASI Za Kazi Global TV

NAFASI Za Kazi Global TV
NAFASI Za Kazi Global TV

NAFASI Za Kazi Global TV

Je, wewe ni kijana mkazi wa Dar es Salaam?

Je, unamiliki Laptop yako na unaweza kutumia kwa ufanisi programu za Graphic Designing na Video Editing?

Je, upo tayari kufanya kazi nyakati za mchana na usiku kadiri kazi itakavyohitaji?

Unaweza kuzalisha maudhui ya habari na kuyapost mitandaoni?

Kama jibu ni ndiyo, changamkia mchongo huu!

Tuma CV na barua fupi ya maombi umi kupitia WhatsApp: 0752 681 291.

Mwisho wa Kutuma Maombi ni May 14, 2025.

NAFASI Za Kazi Global TV
NAFASI Za Kazi Global TV
One Comment

Add a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *