NAFASI Za Kazi GIZ Tanzania and EAC
NAFASI Za Kazi GIZ Tanzania and EAC
GIZ Tanzania and EAC ambaye ni Wakala wa maendeleo kama vile kuhifadhi maliasili, kuboresha afya na ulinzi wa kijamii, na kukuza jamii zenye amani na umoja anatangaza nafasi mpya za Kazi Kwa Watu wenye nia, ari, vigezo na Sifa Kutuma Maombi hapa chini.
3 Comments

Naomba kazi kutoka shirika la GIZ ,nimesoma mpaka elimu ya kidato chasita na chuokikuu mwaka mmoja nipo dodoma ,wilaya chamwino kata ya mvumi mission ,nina uzoefu wa kujitolea shule za sekondari na makampuni ya kibiashara ya afya nitafanya kazi kwa uzalendo na uaminifu na utiifu mkubwa nitazingatia haki na usawa ili kuhamasisha na kuhudumia jamii kwa ajili ya maendeleo endelevu
Nitafanya kazi kwa bidii na maaarifa nitashirikiana na wataalamu wengine kuongeza ufanisi na kukuza weledi kuhusu utendaji kwajamii na kuongeza tija kwenye shirika ,kuhimiza ushirikiano na kuboresha uhusiano kutokana na uzoefu wa kushirikiana na wadau waidara nyingine kutoka sekta ya elimu ,afya ,mazingira au mabadiliko ya tabia ya nchi pamoja kilimo cha kisasa
Nina uzoefu wa kujitolea kwa kuelimisha watu kuhusu afya,kwa maradhi yasiyo yakuambukiza ,naelimisha kuepukana na utapiamlo kwa kushirikiana na wataalamu na wadau wa afya,kuelimisha kuhusu kilimo cha kisasa kama fursa chochezi kwa maendeleo ya wanawake na vijana kwa ujumla,kuelimisha kuhusu dhana ya mabadilikko ya tabia ya nchi na mazingira kwa ustawi wajamii na maendeleo endelevu kwa kushirikiana na makampuni mengine kama HUDEF,AKili platform tanzania na yale ya kilimo