NAFASI Za Kazi Arusha City Council

NAFASI Za Kazi Arusha City Council
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Jiji la Arusha anawatangazia Watanzania wenye sifa na nia ya kufanya kazi katika Halmashauri ya Jiji la Arusha kuomba nafasi za kazi zilizotajwa hapo chini baada ya kupokea kibali chenye Kumb. Na. FA/97/228/01/A/25 cha tarehe 29 Aprili, 2025 kutoka kwa Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Menejimenti ya
Utumishi wa Umma na Utawala.
