NAFASI 6732 Za Kazi MDAs na LGAs

NAFASI 6732 Za Kazi MDAs na LGAs
Katibu wa Sekretarieti ya Ajira Katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya Mamlaka ya Serikali za Mitaa anakaribisha maombi ya kazi kutoka kwa Watanzania wenye sifa na uwezo wa kujaza nafasi 6,732 kama zilizoanishwa katika tangazo hili kwenye PDF.
