NAFASI 2326 Za Kazi MDAs & LGAs na Wizara ya Ardhi

NAFASI 2326 Za Kazi MDAs & LGAs na Wizara ya Ardhi
Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya Sekretarieti za Mikoa na Mamlaka za Serikali za Mitaa pamoja na Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, anakaribisha Maombi ya kazi kutoka kwa Watanzania wenye sifa na uwezo wa kujaza nafasi elfu mbili mia tatu ishirini na sita (2326) kama zilivyoainishwa hapa chini kwenye PDF.
