NAFASI 19 Za Kazi Barrick Gold Mine LTD

NAFASI 19 Za Kazi Barrick Gold Mine LTD

Barrick North Mara ni mgodi wa dhahabu nchini Tanzania, ukisimamiwa na North Mara Gold Mine Limited (NMGML) ambayo ni kampuni ya Kitanzania yenye umiliki mkubwa wa Barrick.

Mgodi huo uliopo katika wilaya ya Tarime mkoani Mara umetangaza Nafasi 19 za Ajira Kwa Watu wenye sifa stahiki Kutuma Maombi kupitia link ya Tangazo hapa chini.

KUTUMA MAOMBI BONYEZA HAPA

Add a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *