MPYA: SIMBA HAWATAFANYA MAZOEZI YA MWISHO UWANJA WA BENJAMINI MKAPA LEO

MPYA: SIMBA HAWATAFANYA MAZOEZI YA MWISHO UWANJA WA BENJAMINI MKAPA LEO

UPDATES: Mpaka sasa, Simba itafanya mazoezi ya mwisho katika uwanja wao wa Mo Bunjua Arena tayari kwa kuwakabili Young Africans siku ya kesho. ย Hawatofanya Benjamin Mkapa.

Ikumbukwe mechi ambayo ilibidi ipigwe tarehe 8 ilihairishwa baada ya kutokea sintofahamu na Simba kuzuiliwa kuingia uwanjani kufanya mazoezi kwasasa simba wao ndo hawataki tena kufanya mazoezi leo katika uwanja wa mkapa.

Usikose kuitazama mechi hii yaย  YANGA vs SIMBA LIVEย ย bure kupitia simu yakoย  download App yetu mapema inayorusha mechi zote live bure, pia App bado hatujaiweka playstore hivo utaidownload kama APK

BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD APP ITAKAYOKUWEZESHA KUTAZAMA MECHI HII LIVE BURE

Add a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *