LIVE: ITAZAME MECHI YA YANGA 🆚 SAFARI LAGER LIVE HAPA BURE


LIVE: ITAZAME MECHI YA YANGA 🆚 SAFARI LAGER LIVE HAPA BURE

Leo Jumamosi Julai 26 katika uwanja wa KMC Complex mechi ya fainali michuano ya Safari Lager kati ya kikosi kilichoundwa baada ya skauti ya wachezaji iliyofanyika nchi nzima ,Safari Lager Champions dhidi ya Yanga itapigwa

Huu ni msimu wa pili klabu ya Yanga inashirikiana na Safari Lager kusaka vijana wenye vipaji nchini nzima

Vijana hao watachuana na wenzao wa Yanga U20 ambao huenda wakaongezewa wachezaji kadhaa wa kikosi cha kwanza ili kuongeza burudani katika mchezo huo wa fainali

BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD APP ITAKAYOKUWEZESHA KUTAZAMA MECHI HII LIVE BURE

Add a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *