KOCHA MKUU WA YANGA ATUA ISMAILIA YA MISRI

KOCHA MKUU WA YANGA ATUA ISMAILIA YA MISRI
Aliyekuwa Kocha Mkuu wa Yanga Miloud Hamdi amejiunga na klabu ya Ismailia ya ligi kuu ya Misri
Hamdi ametua Ismailia baada ya kumaliza mkataba na klabu ya Yanga
Tetesi za Hamdi kutua Ismailia zilianza kuvuma jana mitandaoni na hatimae yametimia
Yanga sasa inarudi sokoni kusaka Kocha Mkuu atakayechukua mikoba ya Hamdi ambaye pia alichukua mikoba ya Sead Ramovic aliyetimkia CR Belouizdad
Msimu uliomalizika Yanga ilinolewa na makocha watatu ikianza msimu na Miguel Gamondi
Mpango ya Yanga ni kuajiri kocha mwenye wasifu mkubwa malengo yakiwa kufanya vyema katika michuano ya ligi ya mabingwa msimu ujao
MIENDELEZO YA MUVI HIZI NA NYINGINE DOWNLOAD APP YETU
App bado hatujaiweka playstore hivo utaidownload kama APK
BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD APP ITAKAYOKUWEZESHA KUTAZAMA MUVI BURE
