HIVI HAPA VIINGILIO MECHI YA SIMBA VS KAGERA SUGAR

HIVI HAPA VIINGILIO MECHI YA SIMBA VS KAGERA SUGAR

Jumapili, Juni 22 Mnyama ana jambo lake pale uwanja wa KMC Complex katika mchezo wa ligi kuu dhidi ya Kagera Sugar

Mechi ya mwisho kucheza nyumbani katika dimba la KMC Complex msimu huu, hii itakuwa fursa kwa mashabiki kupata burudani ya mwisho katika uwanja wa nyumbani

Add a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *