CHAMA KUONDOKA YANGA BAADA YA MECHI YA DERBY NA KUTIMKIA TIMU HII
admin |
20/06/2025 |
Michezo |

CHAMA KUONDOKA YANGA BAADA YA MECHI YA DERBY NA KUTIMKIA TIMU HII
Kiungo mahiri wa Klabu ya Yanga,Clautos Chama, bado hajajua hatma yake ya kuendelea kusalia Jangwani kwa msimu ujao wa 2025/26, Mazungumzo ya mkataba mpya hayajafanyika na anatarajia kuondoka.

Chama, ambaye alijiunga na Yanga kwa mkataba wa mwaka mmoja akitokea kwa watani wao wa jadi Simba , anatarajiwa kumaliza mkataba wake mwishoni mwa msimu huu.
Chama amepata ofa mpya ya timu za nje ya Tanzania na anaweza kuondoka baada ya mechi ya Kariakoo Derby.
Post Views: 2,276