BREAKING: FEI TOTO AMESAJILIWA YANGA :- HANS RAPHAEL

BREAKING:JE FEISALI AMESAJILIWA YANGA HAYA HAPA MAJIBU YOTE

Mchambuzi wa soka Hans Rafael kupitia ukurasa wake wa Instagram ameandika

“Jambo limeisha,wakubwa wamepita nae,kijana ameichagua Yanga na amesinya jana,msimu ujao ni assist na magoli ya kutosha…..tukutane wiki ijayo.

Mguu wake wa kulia umebarikiwa sanaπŸ–οΈ”.

#yangasc #ligikuutanzaniabara #daimambelenyumamwiko #timuyawananchi #wananchi #goal255

Ikumbukwe Feisal amekuwa akihusishwa na Klabu za Simba na Yanga huku pia waajiri wake wa Sasa wa Azam Fc wakimuwekea Dau nono

Endelea kutembelea blog hii kwa habari zaidi.

Usikose kuitazama mechi ya YANGA vs DODOMA JIJI Live bure kupitia simu yako download App hii itakayokuwezesha kuitazama mechi live kwenye simu yako bure, app bado haijawekwa plsystore hivo utaidownload kama APK

BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD APP

Add a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *