BAADA YA AISH MANULA HUYU HAPA MWINGINE ALIYEPEWA THANK YOU SIMBA

BAADA YA AISH MANULA HUYU HAPA MWINGINE ALIYEPEWA THANK YOU SIMBA
Kipa wa klabu ya Simba SC, Hussein Abel, anatarajiwa kuondoka rasmi ndani ya kikosi cha Wekundu wa Msimbazi baada ya mkataba wake kumalizika mwishoni mwa msimu huu. Taarifa kutoka ndani ya klabu hiyo zinaeleza kuwa uongozi umeamua kutomuongezea mkataba huku wakiwekeza nguvu katika kusaka mbadala wake
Abel, aliyesajiliwa kutoka klabu ya KMC, hakuweza kupata nafasi katika kikosi cha kwanza, ambapo alitumika katika baadhi ya mechi hasa zile ambazo hazikuwa za mashindano
Kwa mujibu wa taarifa za awali, Simba SC wapo katika hatua nzuri za kumalizana na kipa wa JKT Tanzania, Yacoub Suleiman ambaye anatajwa kuwa ndiye chaguo la kwanza kuziba nafasi ya Abel.
Mazungumzo yanaendelea na kuna matumaini kuwa dili hilo litakamilika kabla ya maandalizi ya msimu mpya kuanza.
Simba SC imemaliza msimu katika nafasi ya pili kwenye Ligi Kuu Tanzania Bara na inakwenda kuimarisha kikosi kwa ajili ya mashindano ya msimu ujao
Usikose kuitazama mechi hii ya YANGA vs SINGIDA BLACK STARS LIVE  bure kupitia simu yako download App yetu mapema inayorusha mechi zote live bure, pia App bado hatujaiweka playstore hivo utaidownload kama APK
BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD APP ITAKAYOKUWEZESHA KUTAZAMA MECHI HII LIVE BURE
